|
- Diamond Platnumz Haunisumbui 歌詞
- Diamond Platnumz
- Si Kokoko Si Kandambili
Yani Vyote Havikupendezi Mwana Ngoko Usonawili Tope Bin Uterezi Utaishia Kututabiri Tubomoke Inasonga Miezi Mola Amesha Takabiri Usijichoshe Halivunjiki Penzi Ona! Umekosa Nuru Umekosa Bahati Huna Unaitwa Kunguru Ukifika Wananuna Ndondondo Mwana Chururu Asie Buzi Wataka Chuna Mengine Nisikufuru Hhmm! Hazikukai Maskara Wala Makeup Zinakushuka Uso Umekuparara Mwili Shockup Zimetenguka Uso Sauti Ya Stara Pakudeka Unawehuka Jibwa Koko La Mbagala Unabweka Na Kubwetuka Wala! Wala Haunisumbui Wala Wala Haunisumbui Wala Wala Haunisumbui Wala Wala Haunisumbui Wala Na Izo Post Mara Kubebana Mara Eti Mnabusu Mtamaliza Bando Unaowatuma Kunitukana Siogopi Mashushu Mi Wala Michambo Kutwa Kwa Mapage Feki Kama Lokole Inahusu...? Mkwe Akutaki Eti Mwenzangu Pole Mbona Kuntu Vimeseji Kujitumisha Kwa Ndugu Zangu Marufuku Nyota Imekufubika Usifosi Umaarufu Upepo Wa Kisulisuli Umekuchukua Na Nuksani Tanga Lipulipuli Wanakununua Kwa Mizani Kwangu Pambe Shughuli Najiashua Burudani Nna Toto Zurizuri Nimelitua Tuli Ndani Yiih Yiih Iih Iih..! Umekosa Nuru Umekosa Bahati Huna Unaitwa Kunguru Ukifika Wananuna Ndondo Mwana Chururu Asie Buzi Wataka Chuna Menginе Nisikufuru Usie Wa Shaba Wala Chuma Wala Haunisumbui Wala (Wala Hamunikondeshi) Wala Haunisumbui Wala (Mujipost Mainstagram) Wala Haunisumbui Wala (Wala Hamunitetеreshi) Wala Haunisumbui Wala (Waalaah)
|
|
|