|
- Diamond Platnumz Utanipenda 歌詞
- Diamond Platnumz
- Tanta lala laaa
La la la la laaaa Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandalee Ooh 我突然破產回到了Tandale市 Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza madalee 我無法償還債務只能賣掉資產 Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree 廣播和電視已不再播放我的歌曲 Umeneja umebaki jina 只徒留一個經紀人的名字 Hanitaki hata Talee 就連童話故事也不需要我 Oooh wale shabiki zangu walonisifu kwa maneno matamuu 曾經用甜美話語讚美我的粉絲 Leo maadui zangu ni mitusi tu kwa instagramuu 如今卻成為在照片牆上攻擊我的敵人 Kimwanaa si dada anguu Kimwanaa 曾經說她是我的姐姐 Eti nae hanifahamu 現在她也離我而去 Hata harmonize nikimpigia ananifokea kama Salaam 甚至當我打電話給Harmonize時他像Salaam一樣對我吼叫 Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa. 當地報紙總會誇大其詞 Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa 你會聽說Diamond已經被Zari公司拋棄了 Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa 我太過天真無法面對這一切 Kama naiona michambo ya madem wa zamani nilowapitiaga 我清楚地看見前女友們對我的指責 Ooh nayosema yana maanaa 我所說的話都飽含真理 Sababu hakuna anaejua kesho 因為沒有人知道明天會發生什麼 Anaepanga ni Rabanaa 計劃一切的上帝 Ila ameificha ni confidential 將真相都藏了起來 Ukisali omba sanaa 你祈禱著 Mumeo nisije kuwa kichekesho 丈夫我不再會是街頭笑柄 Maana rafiki wa jana Aaah 因為昨天的朋友 Ndioo adui mkubwa wa keshoo 會成為明天的敵人 La la la la la laaaaa Au je utanipenda gaa? 你還會愛我嗎 La la la la laaa Au nawe utanimwagaa? 你會拋棄我嗎 La la la la laaaa Ati utanipenda gaa ooh 你還會愛我嗎 Ooooh Ooooooooh Bado naiwaza sana 我還想著 Zile tunzo mashauzi airport 我曾經獲得的榮譽和(粉絲們)瘋狂的接機 Je itapofika tamaa 如果這一切都不存在了 Utadiriki hata japo kunipost 你還會把我曬在社交網絡上嗎 Pindi show zimekwamaa 如果我所有的演出都結束了 Na nikipata sijahis ni mikosi 即使我獲得演出的機會 Oooh jahazi limezama 人們也不希望我去 Mola ninusulu baba 上帝請原諒我 Kama namuona mwanangu 如果你看見我的孩子 Roho yangu 我的靈魂 Tiffa Dangote Anakwenda na mama angu kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke 我的媽媽去尋求賈卡亞·基奎特的幫助卻被驅趕 Usilie sandra wangu 我的桑德拉你別哭 Mboni yangu 我的愛人 Jikaze usichoke 別放棄 Huenda kesho zamu yangu nitavuma tena mambo yanyooke 也許明天又會輪到我大紅大紫 Eeeey Na magazeti ya nyumbani 當地報紙 Kwa kukuza habari si unajuagaa 總會誇大其詞 Utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwaga 你會聽說Diamond已經被Zari公司拋棄了 Yoyoyooo Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa 我太過天真無法面對這一切 Kama naiona michambo ya madem wangu wa zamani yaan 我清楚地看見前女友們對我的指責 He he heeeeee La la la la laaaaaa (eeeh) (Ola lala la laaaalaa) La la la la laaa (Ooh ola la la laaaa) La la la la la alaaaa Eeeh Ola la la lilaa ooh La la la la la alaa I say. 我說 Kama namuona mwanangu 如果你看見我的孩子 Roho yangu 我的靈魂 Tiffa dangote Ana kwenda na mama angu kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke 我的媽媽去尋求費勒的幫助卻被驅趕 Usilie sandra wangu 我的桑德拉你別哭 Mboni yangu 我的愛人 Jikaze usichoke 別放棄 Huenda kesho zamu yangu nitavuma tena mambo yanyooke(he he heee) 也許明天又會輪到我大紅大紫 Eiiii Ola lala lilaa Oooh Baby (Tudy Thomaas) Oooooh Nayosema yana maana 我所說的話都飽含真理 Sababu hakuna anaejua kesho 因為沒有人知道明天會發生什麼 Anaepanga ni Rabana 計劃一切的上帝 Ila ameificha ni confidential 將真相都藏了起來 Ukisali omba sana 你祈禱著 Mumeo nisije kuwa kichekesho 丈夫我不再會是街頭笑柄 Maana rafiki wa jana 因為昨天的朋友 Ndio adui mkubwa wa kesho 會成為明天的敵人 WASAFI 製作: Tuddy Thomas
|
|
|