|
- Diamond Platnumz Simba 歌詞
- Diamond Platnumz
- Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh!
Kumekucha Jama Kishafanya Yake Munyama Oooh! Kumekucha Jama Kishafanya Yaa! Agaah! Waambie Simba Simba Kiboko Yao Waambie Wekundu Wa Msimbazi Simba Kiboko Yao Oooh! Taifa Kubwa Simba Kiboko Yao Oooh! This Is SImba Simba Kiboko Yao Ona Manara Anacheza Anashangilia Ushindi Umekuja! Mo Anarukaruka Anashangilia Ushindi Umekuja! Yule Dada Anakata Anashangilia Ushindi Umekuja! Agaah! Wahuni Wanarukaruka Anashangilia Ushindi Umekuja! Na Tutamfunga Yoyote Atakae Kaa Mbele Si Wanawashwa Tutawakuna Upele Chenga Na Pasi Ndo Zetu Kama Mbele Oh Magoli Mashuti Kama Pele Wataweza Wapi Jamaa (Wakwende Zao!) Kushindana Na Munyama (Wakwende Zao!) Oooh! Wataweza Wapi Jamaa Kushindana Na Musimbazi Agaah! Nasema Simba Simba Kiboko Yao Waambie Wekundu Wa Msimbazi Simba Kiboko Yao Haina Mpinzani Simba Kiboko Yao Oooh! Mabingwa Wa Nchi Simba Kiboko Yao Ah Wanachama Wanacheza Wanashangilia Ushindi Umekuja! Mashabiki Wanarukaruka Wanashangilia Ushindi Umekuja! Ooh! Nguvu Moja Anashangilia Ushindi Umekuja! Hadi Wale Wanarukaruka Wanashangilia Ushindi Umekuja! Oyaa Mnyama Anakula Aaaaaaaahm! Mnyama Anang'ata Aaaaaaaahm! Mnyama Anakula Aaaaaaaahm! Mnyama Anang'ata Aaaaaaaahm! Anawatafuna Aaaaaaaahm! Anawemeza Aaaaaaaahm! Anawatafuna Aaaaaaaahm! Anawemеza Aaaaaaaahm! Eeeeh Kidedea Eeeeh Kidedеa Eeeeh Kidedea Eeeeh Kidedea Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu Me Mwenzenu Mshabiki Wa Damu Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba) Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba) Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba) Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba) Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela We Kama Unaipenda Simba Peperusha Bendera Ah Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela Basi We Kama Unaipenda Simba Peperusha Asa Twende Peperusha Bendera Wanangu Bendera Niione Bendera Nionyeshe Bendera Nyekundu Bendera Nyeupe Bendera Ya Simba Bendera Umoumo! Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh! Enheee! Waambie Hii Ndo Timu Yenye Mashabiki Wengi East Africa Na Yenye Makombe Mengi East Africa And Central Iliyofanya Vizuri Zaidi Kwenye Mashindano Makubwa Afrika Kuliko CLub Yoyote Na Tutamfunga Yoyote Enheeee! Watoto Wa Msimbazi Bado Sijasikia Miluzi Sijasikia Milio Wanangu Miluzi (Mama) Nisikie Milio (Weka) Wa Kule Miluzi (Twende Baba) Wa Huku Milio (Umoumo) Nisikie Miluzi (Wewe) Wanangu Milio Eeeeh Kidedea Eeeeh Kidedea
|
|
|